Paps Mkare

CHUO CHA KUKUZA TALANTA KUJENGWA KILIFI

Talanta miongoni mwa wakaazi hususan vijana katika kaunti ya Kilifi huenda zikaimarika zaidi baada ya serikali ya kaunti hii kwa ushirikiano na shirika la World Talent Federation kuafikiana kujenga chuo kikuu cha kukuza talanata katika eneo la mariakani. Kulingana na  gavana wa kaunti ya kilifi Gideon Maitha Mung’aro, ni kuwa shirika hilo litawekeza takriban shillingi

CHUO CHA KUKUZA TALANTA KUJENGWA KILIFI Read More »

HARRY MAGUIRE KUPOKONYWA UNAHODHA

Harry Maguire ambaye amekuwa nahodha wa klabu ya Manchester United kule uingereza atapokonywa unahodha huo hata ikitokea hajauzwa msimu huu. Majarida kadhaa yameripoti kwamba huenda Bruno Fernandes akapewa kitambaa hicho au Casemiro kuelekea msimu ujao. Harry Maguire kwa sasa ameonekana hayupo kabisa katika mipango ya mkufunzi Erick Ten Hag na amewekwa mnadani huku vilabu kadhaa

HARRY MAGUIRE KUPOKONYWA UNAHODHA Read More »