ODEMBA KUFUTWA KAZI
Shirikisho la soka hapa Nchini FKF linapanga kumng’atua Beldine Odemba kama mkufunzi wa Timu ya Taifa ya Kina dada Harambee starlets, kufuatia sare tasa dhidi ya Tunisia kwenye mechi ya mkondo Wa Kwanza ya kufuzu kwa Wafcon ya mwaka ujao iliyopigwa ugani Ulinzi sports complex. Odemba alipokea cheche kutoka kwa mashabiki na wachanganuzi WA soka […]
ODEMBA KUFUTWA KAZI Read More »



