Paps Mkare

BEACH BAY YAPANGA KUINGIA SOKONI, MALINDI UNITED IKIREJEA MALINDI

Klabu ya Beach Bay yenye makazi yake katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi klabu inayoshiriki ligi ya daraja la pili kitaifa inalenga kusajili wachezaji watatu katika dirisha la usajiliili kukiimarisha kikosi hicho. Mkufunzi wa klabu hiyo James Mkutano amesema kwamba Beach Bay inawinda wachezaji  wawili kutoka PAG na mmoja kutoka Lubumbashy FC ili

BEACH BAY YAPANGA KUINGIA SOKONI, MALINDI UNITED IKIREJEA MALINDI Read More »