Paps Mkare

”KIKIMRAMBA AJIPANGE”, BADILI ATUMA UJUMBE KWA KAVOI

Mkufunzi wa klabu ya Malindi Clusters Davis Badili amethibitisha kuwa sintofahamu kuhusu uhamisho wa mchezaji wake wa zamani Rafiki Kavoi wameukamilisha na sasa ni rasmi yeye ni mchezaji wa klabu ya Malindi United. Badili amethibitisha kuwa viongozi wa vilabu wa Malindi Progressive Academy, Malindi United pamoja na Malindi Clusters walikutana wiki ilopita na wakajadili suala

”KIKIMRAMBA AJIPANGE”, BADILI ATUMA UJUMBE KWA KAVOI Read More »