XAVI AIPONGEZA BARCA YAKE
Mkufunzi mkuu wa klabu ya Barcelona Xavi Hernandez amepongeza wachezaji wake kwa ushindi wa 3-2 wa timu yake ugenini dhidi ya Paris Saint-Germain katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya klabu bingwa barani Ulaya, akisisitiza kwamba ilionyesha Wakatalunya hao wanaweza kwa mara nyingine tena kushindana na timu bora zaidi barani Ulaya. Barcelona […]
XAVI AIPONGEZA BARCA YAKE Read More »



