Paps Mkare

MUUNGANO WA WAVUVI ENEO LA MALINDI WAPENDEKEZA KUWEKEWA MATAA

Muungano wa wavuvi wa Mijikenda Fishermen Association katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, umependekeza kuwekewa mataa katika baadhi ya barabara wanazozitumia kuingia baharini. Kulingana na Joseph Kaingu mmoja wa wavuvi hao, amesema ukosefu wa mataa katika baadhi ya sehemu hizo, kunahatarisha maisha ya wavuvi hao hasa nyakati za usiku, wakati wanapoendeleza shughuli zao kwenye

MUUNGANO WA WAVUVI ENEO LA MALINDI WAPENDEKEZA KUWEKEWA MATAA Read More »