lulufm

WAVUVI WATARAJIWA KUNUFAIKA NA VIFAA VYA KUTEKELEZA UVUVI KUPITIA VYAMA VYA USHIRIKA.

Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamaad Shariff Nassir amesema kuwa serikali ya kaunti hiyo, imeanza mikakati ya kuwakabili matapeli wanaoendeleza unyakuzi wa ardhi za umma kaunti hiyo. Kwa mujibu wa gavana huyo ni kuwa wameanza harakati za kutafuta hatimiliki halali za ardhi hizo, ili kutekeleza miradi mbali mbali ikiwemo ujenzi wa soko ambalo, huenda likawasaidia […]

WAVUVI WATARAJIWA KUNUFAIKA NA VIFAA VYA KUTEKELEZA UVUVI KUPITIA VYAMA VYA USHIRIKA. Read More »

VIONGOZI WA MICHEZO MASHINANI WALALAMA TAARIFA HAZIWAFIKII

Wito umetolewa kwa viongozi wa michezo nchini kuingia mashinani kutazama na kutambua talanta za wachezaji kama njia moja ya kutimiza lengo kuu la ugatuzi kwa kuangazia wachezaji walio mashinani zaidi. Jambo hilo litasaidia kutoa hamasa zaidi kuhusu mradi wa serikali wa talanta hela pamoja ambapo vijana wengi wenye vipaji watatambulika. Akizungumza na Tama La Spoti

VIONGOZI WA MICHEZO MASHINANI WALALAMA TAARIFA HAZIWAFIKII Read More »

JOAO CANCELO ATOA SABABU YA KUONDOKA ETIHAD

Beki wa ureno mwite Joao Cancelo amesema alishindwa kukataa ofa ya mkopo kuondoka Etihad na kujiunga na Bayern Munich kwa kile anachotaja kwamba mkufunzi wake Pep Guardiola wa Manchester City alimnyima muda zaidi wa kucheza klabuni hapo jambo ambalo lilikuwa linahatarisha kushuka kiwango chake. kwa sasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anachezea Baeyrn

JOAO CANCELO ATOA SABABU YA KUONDOKA ETIHAD Read More »