WADAU MBALI MBALI ENEO LA MALINDI KAUNTI YA KILIFI WASHIRIKIANA KATIKA ZOEZI LA UPANZI WA MITI.
Kama njia mojawapo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia inchi katika eneo hili la Malindi na kaunti ya Kilifi kwa jumla, wadau mbali mbali wa kimazingira kaunti ya Kilifi, wameendeleza shughuli za upanzi na utunzi wa miti katika bustani ya Buthwani water front Park. Kulingana na mwanzilishi wa mpango wa upanzi wa miti milioni moja […]



