Janet Mumbi

FAZA YOUTH ACTION GROUP YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUZIFUFUA NA KUZIIMARISHA ZAHANATI

Shirika la kijamii la Faza Youth Action Group kaunti ya Lamu limeitaka serikali ya kaunti hiyo kuharakisha mchakato wa kuzifufua na kuziimarisha zahanati ambazo ziko katika wadi ya Basuba eneo la Boni ili kuwanufaisha wenyeji wa maeneo hayo. Kulingana na shirika hilo, wadi ya Basuba iko na zahanati moja pekee eneo la Kiangwe na haina […]

FAZA YOUTH ACTION GROUP YAITAKA SERIKALI YA KAUNTI YA LAMU KUZIFUFUA NA KUZIIMARISHA ZAHANATI Read More »

RUTO AMEAHIDI MIZOZO YA ARDHI KUTATULIWA KAUNTI YA LAMU

Rais William Samoei Ruto ameahidi kulishughulikia suala tata la ardhi katika kaunti ya Lamu ili kudhibiti mizozo inayotokana na umiliki ardhi kwenye kaunti ya Lamu. Akizungumza jana katika uwanja wa muungano eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu Rais Ruto amesema atafanikisha ahadi ambazo alitoa wakati wa kampeni za uchaguzi kuhusu suala tata la ardhi kwenye

RUTO AMEAHIDI MIZOZO YA ARDHI KUTATULIWA KAUNTI YA LAMU Read More »

ROSTAM AZIZI ATOA WITO KWA SERIKALI ZA AFRIKA MASHARIKI KUIMARISHA UWIANO

Mwekezaji na pia mmiliki wa Gesi kutoka taifa la Tanzania Rostam Aziz ametoa wito kwa serikali za kanda ya Afrika Mashariki kuimarisha uwiano miongoni mwa raia wake ili kuboresha masuala ya biashara. Kwa mujibu wa Aziz, serikali za mataifa yaliyowanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zimefeli katika kuboresha mazingira bora ya kibiashara licha ya kuwa

ROSTAM AZIZI ATOA WITO KWA SERIKALI ZA AFRIKA MASHARIKI KUIMARISHA UWIANO Read More »