Paps Mkare

WALINIONDOKEA NIKAYUMBA – PETER MOLE MKUFUNZI WA BEACH BAY

Mkufunzi wa ligi ya daraja la pili kitaifa Peter Ponda anayekiongoza kikosi cha Beach Bay anasema sababu kubwa ya kufanya klabu hiyo kuandikisha matokeo duni msimu huu ni kutokana na baadhi ya wachezaji tegemezi kujiondoa kikosini hapo. Baadhi wa wachezaji anaowakosa ni pamoja na Amani Kiponda aliyehamia klabu ya Mombasa Omax FC ambayo pia yacheza […]

WALINIONDOKEA NIKAYUMBA – PETER MOLE MKUFUNZI WA BEACH BAY Read More »

REAL MADRID NA BARCELONA KUFUFUA UHASAMA LEO

Usiku wa leo kuna mechi ya Elclassico ambapo Real Madrid watakuwa wanafufua uhasama wao dhidi ya klabu ya Barcelona katika mtanangwe wa Copa Del Rey hatua ya nusu fainali raundi ya kwanza. Mechi hiyo itakayochezwa dimbani Santiago Barnabou itamkosa mshambuliaji Robert Lewandoski ambaye anauguza jeraha la misuli pamoja na Osuamnane Dembele pamoja na kiungo wa

REAL MADRID NA BARCELONA KUFUFUA UHASAMA LEO Read More »