Janet Mumbi

JIMMY KAHINDI AWASHAURI WANOTAKA KUWANIA WADHIFA WA USPIKA KWENYE BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI KUJIANDAA

Spika anayeondoka mamlakani katika bunge la Kaunti ya Kilifi Jimmy Kahindi, amewashauri wale wanaotaka kuwania wadhifa huo kuhakikisha kuwa wako tayari, kukabiliana na changamoto zinazo andamana na majukumu ya wadhifa huo. Haya yanajiri siku chache baada ya kiongozi huyo kuweka wazi kuwa hatawania wadhifa huo kwa awamu ya tatu, tangu ujio wa serikali za kaunti […]

JIMMY KAHINDI AWASHAURI WANOTAKA KUWANIA WADHIFA WA USPIKA KWENYE BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI KUJIANDAA Read More »

GAVANA GIDEON MUNG’ARO ASEMA MALIMBIKIZI YA DENI KAUNTI YA KILIFI YATALIPWA

Gavana wa kaunti ya Kilifi, Gideon Maitha Mung’aro amesema  kuwa malimbikizi ya madeni ambayo yapo katika serikali ya kaunti ya Kilifi yatalipwa pindi uchunguzi wa kina kuhusu madeni hayo utakapokamilika. Kauli ya gavana Mung’aro imechochewa na taarifa kuwa serikali ya kaunti ya Kilifi inadaiwa zaidi ya shilingi bilioni 1.4  huku gavana Mung’aro akibainisha kuwa makadirio

GAVANA GIDEON MUNG’ARO ASEMA MALIMBIKIZI YA DENI KAUNTI YA KILIFI YATALIPWA Read More »