Janet Mumbi

WATOTO WALIOKO CHINI YA UMRI WA MIAKA 5 KAUNTI YA TANA RIVER WANAUGUA UTAPIAMLO

Visa vya utapiamlo miongoni mwa watoto vimetajwa kuongezeka kaunti ya Tana River kufuatia hali ya ukame. Idara ya afya kaunti hiyo ya Tana River imesema  watoto waliochini na umri wa miaka 5 wameathirika na utapiamlo kwa asilimia 14. Kulingana na Dkt. Oscar Endekwa ambaye ni mkurugenzi wa matibabu idara ya afya kaunti ya Tana river […]

WATOTO WALIOKO CHINI YA UMRI WA MIAKA 5 KAUNTI YA TANA RIVER WANAUGUA UTAPIAMLO Read More »

GAVANA ANDREW MWADIME ATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI YA MAENDELEO AMBAYO HAIKUMALIZWA NA MTANGULIZI WAKE

Gavana wa kaunti ya Taita  Taveta Andrew Mwadime ametakiwa kuhakikisha kuwa anakamilisha miradi ya maendeleo ambayo haikukamilika wakati wa gavana aliyeondoka Granton Samboja. Wanaharakati wa kijamii wakiongozwa na Juma Kombora wametoa shinikizo hizo kwa gavana Mwadime wakisema kuwa miradi hiyo ilipania  kuwanufaisha wananchi hivyo ni sharti imalizwe. Kombora amesema kuwa miradi hiyo pia inapaswa kutengewa

GAVANA ANDREW MWADIME ATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI YA MAENDELEO AMBAYO HAIKUMALIZWA NA MTANGULIZI WAKE Read More »

KENYA SHUJAA KUMENYANA NA TONGA, INJERA AKIJUMUISHWA KWENYE KIKOSI

Timu ya raga ya Kenya Sevens inatarajia kutumia mtindo wao walioutumia katika nusu-fainali ya mwaka 2013 watakapoanza kampeni ya Kombe la Dunia la Raga ya wachezaji saba kila upande (2022 Rugby World Cup Sevens) kwa mechi ya kabla ya raundi ya 16 dhidi ya Tonga leo nchini Afrika Kusini. Shujaa ilimaliza katika nafasi ya nne

KENYA SHUJAA KUMENYANA NA TONGA, INJERA AKIJUMUISHWA KWENYE KIKOSI Read More »