Paps Mkare

PAUL BITOK ANAIMANI MALKIA STRIKERS WATAFANYA VYEMA KWENYE MASHINDANO YA DUNIA

Mkufunzi mkuu wa Malkia Strikers Paul Bitok anaimani kwamba wanadada hao watafanya vyema katika mashindano ya dunia ya mpira wa wavu yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23 mwezi huu hadi 15 mwezi October katika taifa la Uholanzi pamoja na Poland. Bitok amesema kwamba mazoezi ya miezi miwili waliyopiga kambi katika taifa la Brazil yamewasaidia kuimarika zaidi na […]

PAUL BITOK ANAIMANI MALKIA STRIKERS WATAFANYA VYEMA KWENYE MASHINDANO YA DUNIA Read More »

TODD BOEHLY ATOA SABABU YA KUMFUTA KAZI MKUFUNZI THOMAS TUCHEL

    Mmiliki mpya wa klabu ya Chelsea, Todd Boehly amesema kwamba uamuzi wa kumfuta kazi mkufunzi Thomas Tuchel hauhusiani kabisa na kupoteza kwa mechi ya klabu bingwa dhidi ya Dynamo Zagreb wiki iliyopita. Bilionea huyo wa Marekani amesema kwamba kama klabu walikuwa na malengo ya kuanza safari mpya ya  kukarabati kikosi hicho kuanzia juu

TODD BOEHLY ATOA SABABU YA KUMFUTA KAZI MKUFUNZI THOMAS TUCHEL Read More »

BERNARD MWALALA ASAJILIWA NA ULINZI STARS

Klabu ya Ulinzi Stars imemsajili Bernard Mwalala kama mkufunzi wao mpya klabu hiyo inapoelekea msimu mpya wa mwaka 2022/2023. Mwalala ambaye sasa anachukua nafasi ya Benjamin Nyangweso katika uongozi wa klabu hiyo atasaidia na Vincent Otieno pamoja na mkufunzi Hamisi Abdalla. Mkufunzi Mwalala sasa atachukuwa majukumu ya kukiongoza kikosi hicho katika mechi za kirafiki kabla

BERNARD MWALALA ASAJILIWA NA ULINZI STARS Read More »