Paps Mkare

VIONGOZI WA SOKA MASHINANI WAANZISHA MAFUNZO YA MAREFA NA MAKOCHA

Wadau wa soka nchini Kenya wanapozidi kususubiri ligi kurejea kwa hali shwari baada ya swala zima la marufuku ya FIFA kuondolewa na ujio wa waziri mpya wa michezo Ababu Namwamba kuanza rasmi kazi yake, sasa washikadau wa michezo mashinani wameazimia kuanzisha mafunzo ya makocha ili kuboresha sekta hiyo wakati wakisubiri hali nzuri kurejea. Akizungumza na […]

VIONGOZI WA SOKA MASHINANI WAANZISHA MAFUNZO YA MAREFA NA MAKOCHA Read More »

KIPCHOGE ASHAURI WAAFRIKA KUCHANGIA WAGONJWA VIUNGO VYA MWILI

Bingwa wa Berlin marathon mwite Eliud Kipchoge ameshauri umma hasa wa barani Afrika kulifikiria kwa uzuri suala la kuchangia viungo vya mwili kwa wahitaji ili kuokoa maisha kama wanavyofanya wenzetu Ulaya. Bingwa huyo wa Olimpiki aliyasema hayo jana wakati akihojiwa na kituo kimoja cha habari jijini Nairobi ambapo alishauri umma ulimwengu unabadilika na sasa muda

KIPCHOGE ASHAURI WAAFRIKA KUCHANGIA WAGONJWA VIUNGO VYA MWILI Read More »

NICK MWENDWA KUTANGAZA TAREHE YA KUANZA MSIMU MPYA WIKI HII

Rais wa shirikisho la soka fkf Nick Mwendwa analenga kutangaza tarehe za kuanza arasmi kwa msimu mpya wiki hii, msimu ambao alikuwa amedokeza awali kwamba utaanza mwishoni mwa mwezi huu. Aliyasema hayo katika ujumbe alioachapisha kwenye mtandao wake wa twitter na kuongeza kwa kuwashauri wachezaji, makocha pamoja na washikadau wengine kuzidisha mazoezi wanaposubiri tarehe rasmi

NICK MWENDWA KUTANGAZA TAREHE YA KUANZA MSIMU MPYA WIKI HII Read More »