JACINTA MBEYU ASEMA KUNA HAJA YA MILA NA TAMADUNI ZINAZOKANDAMIZA MTOTO WA KIKE KUTUPILIWA MBALI
Ipo haja ya baadhi ya mila na tamaduni zinazokandamiza maisha ya mtoto wa kike katika jamii kutupiliwa mbali. Haya ni kwa mujibu wa rais wa bunge la vijana kaunti ya Kilifi Jacinta Mbeyu Sanga, ambaye amesema baadhi ya watoto wa kike wamekosa kupata nafasi za kuboresha maisha yao, hasa katika masuala ya uongozi kutokana na […]



