WANANDOA WAHIMIZWA KUTOWADHURU WATOTO WAO
Himizo linazidi kutolewa kwa wanandoa kutatua mizozo yao kwa njia inayofaa ili kudhibiti visa vya mauaji kati yao. Haya yanajiri baada ya watoto wawili kuzikwa jana kufuatia kuuliwa na baba yao juma moja lililopita huko Bombolulu eneo bunge la Nyali kaunti ya Mombasa. Watoto hao Daniel Jackson Chacha mwenye umri wa miaka minane na David […]
WANANDOA WAHIMIZWA KUTOWADHURU WATOTO WAO Read More »



