Janet Mumbi

EDDY CHENGO AITAKA SERIKALI KILIFI KUONGEZA JUHUDI ZA KUKABILI MATATIZO YA AFYA YA AKILI

Wadau wa masuala ya matatizo ya afya ya akili mjini Malindi kaunti ya Kilifi wakiongozwa na Daktari Eddy Chengo amesema ipo haja ya serikali ya kaunti ya Kilifi kuzidisha hamasa kuhusiana na matatizo ya afya akili. Akizungumza jana katika maadhimisho ya siku ya matatizo ya afya ya akili eneo la Mariakani kaunti ya Kilifi amesema […]

EDDY CHENGO AITAKA SERIKALI KILIFI KUONGEZA JUHUDI ZA KUKABILI MATATIZO YA AFYA YA AKILI Read More »

ARSENAL YAPAA KILELENI MWA JEDWALI KWA KUIPIGA LIVERPOOL

Washika mtutu wa London waite Arsenal sasa wamerudi kileleni tena kwa kufuatia kusajili ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya majogoo wa Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu Uingereza mtanange uliopigwa dimba la Emirates. Saka ambaye aliibuka kuwa mchezaji bora kwenye mechi hiyo akiwa anavalia jezi namba 7 alifunga magoli mawili kwenye mechi hiyo moja akimalizia

ARSENAL YAPAA KILELENI MWA JEDWALI KWA KUIPIGA LIVERPOOL Read More »