Janet Mumbi

VUGUVUGU LA AMKENI COAST MOVEMENT YAMTETEA AISHA JUMWA

wenyekiti wa vuguvu la AMKENI COAST MOVEMENT Farida Rashid pamoja na wanaharakati wenza wamewakosoa wanaopinga kuondolewa mashtaka kwa aliyekuwa mbunge wa Malindi kaunti ya Kilifi Aisha Jumwa. Farida ametoa wito kwa wanaopinga hatua hiyo kuwasilisha lalama zao kwa mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma nchini Noordin Hajji na sio kuibua kashfa ambazo hazina misingi yoyote. […]

VUGUVUGU LA AMKENI COAST MOVEMENT YAMTETEA AISHA JUMWA Read More »

WADAU WA SOKA NA FKF WAKOSA KUELEWANA MAGHARINI

Viongozi wa soka la mashinani katika eneo bunge la magharini kaunti ya kilifi wameonya vikali vilabu vilivyosajiliwa na shirikisho la soka la fkf kujishirikisha katika mashindano ya kiholela bila idhini kutoka ofisi zao. Viongozi hao wamehoji kwamba mashindano hayo yanaharibu soka la mashinnani kwa kufanyika bila mipangilio mizuri ambayo inaonekana kupelekea kudunisha soka la mashinani.

WADAU WA SOKA NA FKF WAKOSA KUELEWANA MAGHARINI Read More »

ITALIA NA BRAZIL KUTANDIKANA KWENYE SEMI FAINALI ZA MPIRA WA WAVU

Mechi ya pili ya semi fainali za mashindano ya mpira wa wavu itakuwa inarindimwa hii leo katika taifa la Uholanzi majira ya saa mbili usiku. Ni mechi ambayo itakuwa inawakutanisha malkia wa brazil dhidi ya Italia ambapo mshindi kati yao atakuwa anakutana na Serbia katika fainali. Ikumbukwe Kenya ambayo ilikuwa inashiriki mashindano hayo ilitolewa katika

ITALIA NA BRAZIL KUTANDIKANA KWENYE SEMI FAINALI ZA MPIRA WA WAVU Read More »