KENYA SHUJAA YAINGIA KATIKA RATIBA YA MASHINDANO YA DUNIA
Timu ya taifa ya kenya ya raga kikosi cha wachezaji saba kila upande waite Kenya Shujaa wamepangwa katika Kundi D pamoja na timu ya taifa ya Argentina, Ireland na Kanada katika msururu wa ufunguzi wa raga ya wachezaji saba duniani kwa msimu wa 2022/2023 huko Hong Kong mwezi Novemba 4 hadi 6. Kenya Shujaa walimaliza […]
KENYA SHUJAA YAINGIA KATIKA RATIBA YA MASHINDANO YA DUNIA Read More »



