lulufm

Jääkasiino Esimene veebikasiino Šveitsis 2022

Teie portfelli mängitakse enam kui 2000 mänguga 33 pakkujalt. Saate igal ajal valida demo- või pärisraha režiimi vahel ning teha juba eelnevalt püsivalt ahvatleva boonuspakkumise, näiteks Ice gambling temple 50 tasuta keerutust ja Ice casino 25 euro allahindlust. Kohe pärast seda saab aktiveerida keskmisest suurema 1500 € tervitusboonuse koos 270 tasuta keerutusega. On lihtne näha, […]

Jääkasiino Esimene veebikasiino Šveitsis 2022 Read More »

MRADI WA UTOAJI CHAKULA KWA SHULE ZA CHEKECHEA KUANZISHWA TANA RIVER

Afisa mkuu wa idara ya elimu katika serikali ya kaunti ya Tana River Fatuma Bona Gafo wataendeleza mradi wa utoaji chakula kwa shule za chekechea baada ya kukwama kwa muda tangu ujio wa janga la virusi vya Corona nchini. Bona amesema tayari sera zimebuniwa kwa elimu ya chekechea ambazo zitatoa muongozo bora katika shule hizo

MRADI WA UTOAJI CHAKULA KWA SHULE ZA CHEKECHEA KUANZISHWA TANA RIVER Read More »

ANISA ABDALLA ASEMA MBINU YA UKUZAJI VYAKULA KUPITIA MBINU YA GMO ITAANGAZIWA

Mwenyekiti wa maonyesho ya Kilimo kanda ya pwani Anisa Abdalla amesema mbinu ya ukuzaji vyakula kupititia kisayansi GMO itaangaziwa wakati wa maonyesho ya kilimo ya mwaka huu katika kaunti ya Mombasa. Kauli yake inajiri kufuatia madai kuwa mbinu hiyo itachangia kwa wananchi kukumbwa na madhara mbalimbali kama kuugua ugonjwa wa saratani hali ambayo inaendelea kuibua

ANISA ABDALLA ASEMA MBINU YA UKUZAJI VYAKULA KUPITIA MBINU YA GMO ITAANGAZIWA Read More »