KOGALO IKO TAYARI KWA MSIMU MPYA – Johnathan McKinstry
Mkufunzi mpya wa klabu ya Kogalo Johnathan McKinstry anasema kwamba wanasubiri msimu mpya kuanza rasmi na analenga kutwa ubingwa wa ligi hiyo na kikosi chake ambacho anakitaja kwamba kiko na motisha na ubingwa. Johnathan_McKinstry ambaye amechukua hatamu ya uongozi wa klabu hiyo miezi mitatu ilopita anasema hahisi kuwa katika shinikizo kutokana na mashabiki wanaotaka ubingwa […]
KOGALO IKO TAYARI KWA MSIMU MPYA – Johnathan McKinstry Read More »



