Janet Mumbi

VUGUVUGU LA UDA KAUNTI YA MOMBASA LAITAKA EACC KUCHUNGUZA MADAI YA UBADHIRIFU WA FEDHAA ZA UMMA

Vuguvugu la chama cha UDA kaunti ya Mombasa limeitaka tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini EACC kuanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ufujaji wa fedha za umma katika serikali ya kaunti hiyo ya kima cha shilingi bilioni. Likiongozwa na mwenyejiti Salim Kuza pamoja na msemaji wa vuguvugu hilo Michael Nato linasema ni lazima uchunguzi […]

VUGUVUGU LA UDA KAUNTI YA MOMBASA LAITAKA EACC KUCHUNGUZA MADAI YA UBADHIRIFU WA FEDHAA ZA UMMA Read More »

WAHUDUMU WA TUKTUK NA PIKIPIKI MJINI MALINDI WATOA HISIA ZAO KUHUSU USALAMA

Wahudumu wa bodaboda na Tuktuk kaunti ndogo ya Malindi kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali kupitia idara ya usalama kuingilia kati kusaka suluhu la kudumu kutokana na ongezeko la utovu wa usalama unaopelekea wahudumu hao kuibiwa pikipiki zao na hata kuuawa. Wakiongozwa na Rodgers Thoya wanabodaboda hao wameitaka idara ya usalama kushirikiana nao na jamii kwa

WAHUDUMU WA TUKTUK NA PIKIPIKI MJINI MALINDI WATOA HISIA ZAO KUHUSU USALAMA Read More »

HIMIZO LATOLEWA KWA WANANCHI NA ASASI ZA SERIKALI KUENDELEA KUDUMISHA AMANI

Wananchi, asasi mbalimbali za serkali na wadau wamehimizwa kuzingatia amani iliyoshuhudiwa kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka huu wa 2022. Haya ni kwa mujibu wa afisa kutoka kamati ya utekelezaji wa amani kitaifa benard Gitau ambaye amewapongeza wananchi kwa kuzingatia amani na utulivu kwenye uchaguzi uliokamilika mwezi wa nane. Akizungumza

HIMIZO LATOLEWA KWA WANANCHI NA ASASI ZA SERIKALI KUENDELEA KUDUMISHA AMANI Read More »