lulufm

REGRAGUI AWAPA SHAVU ATLAS LIONS LICHA YA KUPOTEZA MECHI YA NUSU FAINALI

Mkufunzi wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui amewapongeza vijana wake wa Atlas Lions kwa kuonyesha kiwango kizuri katika mechi ya Jumatano licha ya kutandikwa kichapo cha 2-0 na timu ya taifa ya ufaransa, kichapo ambacho kiliwafanya kuachana na azma yao ya kuwinda ubingwa wa dunia. Regragui amesema kumakinika kwa vijana wake ndio jambo

REGRAGUI AWAPA SHAVU ATLAS LIONS LICHA YA KUPOTEZA MECHI YA NUSU FAINALI Read More »