Paps Mkare

MESSI KUSTAFU SOKA LA KITAIFA BAADA YA FAINALI ZA MWAKA HUU.

Lionel Messi mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona ambaye kwa sasa anakipiga kunako klabu ya Paris SG amethibitisha kwamba atakuwa anastafu rasmi soka la kimataifa baada ya kucheza fainali za siku ya jumapili wakati ambapo mashindano ya kombe la dunia yatakuwa yanatamatika rasmi. Hii itakuwa ni mara ya pili Messi atakuwa anacheza fainali za

MESSI KUSTAFU SOKA LA KITAIFA BAADA YA FAINALI ZA MWAKA HUU. Read More »

KARIM BENZEMA KUITWA KWENYE FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema huenda akaitwa rasmi katika kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa kinachoongozwa na mkufunzi Didier Deschamps ili kuongeza nguvu katika kikosi kitakacho ng’ang’ania ubingwa wa kombe la dunia mwaka huu. Mkufunzi Deschamps licha ya Karim Benzema kukosekana katika mechi za awali za mashindano ya kombe dunia kutokana

KARIM BENZEMA KUITWA KWENYE FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA Read More »