Paps Mkare

REFA WA KADI NYINGI KUFUNGIWA KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA

Refa wa kimataifa Antonio Mateu aliyechezesha mechi ya robo fainali baina ya Uholanzi na Argentina sasa atalazimika kuachana na mashindano ya kombe la dunia yanayoendelea katika taifa la Qatar. Hii ni kutokana naye kujipata pabaya baada ya uamuzi mbaya uwanjani ambao ulikashifiwa na wachezaji pamoja na maafisa wa fifa kutokana naye kuadhimu kadi 17 za

REFA WA KADI NYINGI KUFUNGIWA KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA Read More »

SERIKALI KUFANYA MICHEZO KUWA KITEGA UCHUMI

Rais William Ruto anaahidi kuwezesha michezo kuwa kitega uchumi kwa vijana wengi katika taifa hili kama njia moja ya kuwakwamua kutokana na umaskini. Ruto ambaye alikuwa anahotubia taifa Jumatatu katika sherehe za Jamhuri alisema kwamba analenga kutumia mradi wa Talanta Hela kama njia ya kuwafanya vijana kutangaza talanta zao kutoka mashinani na kupitia mradi huo

SERIKALI KUFANYA MICHEZO KUWA KITEGA UCHUMI Read More »