MBUNGE WA MALINDI AMINA MNYAZI ATANGAZA NAFASI ZA UFADHILI WA MASOMO
Afisi ya mbunge wa Malindi kaunti ya Kilifi Amina Mnyazi, imetangaza kuwepo kwa nafasi elfu moja za ufadhili wa masomo ya kozi mbalimbali za kibiashara kupitia mitandao. Kulingana na mbunge huyo kuna umuhimu mkubwa kwa wananchi katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, kuthamini masomo hayo kupitia kwa mitandaoili kuboresha viwango vya elimu eneo bunge […]
MBUNGE WA MALINDI AMINA MNYAZI ATANGAZA NAFASI ZA UFADHILI WA MASOMO Read More »



