Janet Mumbi

IDADI NDOGO YA WENYEJI WA SHELLA KAUNTI YA KILIFI YAJITOKEZA KWENYE KIKAO CHA WANANCHI KUTOA MAONI

Idadi kubwa ya wanajamii katika wadi ya Shella mjini Malindi kaunti ya Kilifi wamenyooshewa kidole cha lawama kwa kususia kikao cha wananchi kutoa maoni yao, kuhusiana muongozo wa utendakazi wa serikali ya kaunti ya Kilifi katika hatamu yake ya uongozi wa miaka mitano. Kwa mujibu wa msimamizi wadi hiyo ya Shella Zamzam Mohammed, huenda matakwa […]

IDADI NDOGO YA WENYEJI WA SHELLA KAUNTI YA KILIFI YAJITOKEZA KWENYE KIKAO CHA WANANCHI KUTOA MAONI Read More »

THOMAS SANKEI ALALAMIKIA IDADI KUBWA YA WANAFUNZI TANA RIVER KUACHA MASOMO

Kamishna wa kaunti ya Tana River Thomas Sankei amelalamikia idadi kubwa ya wanafunzi kwenye kaunti hiyo kuacha masomo na pia idadi ya watahiniwa kupungua. Kutokana na hali hiyo sasa amewataka viongozi wa kaunti hiyo kufanya kikao cha dharura ili kujadili msatakabi wa elimu kwenye kaunti ya Tana River. Amesema ni lazima hatua za haraka zichukuliwe

THOMAS SANKEI ALALAMIKIA IDADI KUBWA YA WANAFUNZI TANA RIVER KUACHA MASOMO Read More »

ANDREW MWADIME ASEMA WAMEAFIKIANA NA WIZARA YA MAJI NCHINI KUBUNI JOPO LAKUFANYIA MAREKEBISHO YA SHERIA

Mwenyekiti wa kamati ya maji, Raslimali, utalii na Mazingira katika baraza la magavana nchini ambaye pia ni gavana wa kaunti ya Taita Taveta Andrew Mwadime amesema wameafikiana na wizara ya maji kubuni jopo ambalo litafanyia marekebisho ya sheria inayosimamia raslimali za maji mwaka 2016. Mwadime amesema hatua hiyo inalenga kuweka wazi majukumu ya serikali kuu

ANDREW MWADIME ASEMA WAMEAFIKIANA NA WIZARA YA MAJI NCHINI KUBUNI JOPO LAKUFANYIA MAREKEBISHO YA SHERIA Read More »