WAZAZI ENEO LA MSAMBWENI WAENDELELEA KUHIMIZWA KUWA KARIBU NA WATOTO WAO
Naibu kamishna wa eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale Kipkoech Lotiatia amewataka wazazi eneo hilo kuwalinda watoto wao msimu huu wa likizo ndefu ya mwezi wa Disemba. Lotiatia amesema ni vyema kwa wazazi kuwa karibu na watoto wao ili kuwalinda dhidi ya kushawishika kutumia dawa za kulevya na mambo mengine maovu ambayo huenda yakawaathiri […]
WAZAZI ENEO LA MSAMBWENI WAENDELELEA KUHIMIZWA KUWA KARIBU NA WATOTO WAO Read More »


