RUWEIDA OBO AISHINIKIZA SERIKALI KUU KWA USHIRIKIANO NA YA KAUNTI YA KILIFI KUWEKA LAMI BARABARA YA MTANGAWANDA – KIZINGITINI
Mbunge wa Lamu Mashariki kaunti ya Lamu, Ruweida Obo ameishinikiza serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na serikali ya kaunti kuweka lami kwenye barabara ya Mthangawanda – kizingitini katika kisiwa cha Pate. Obo amesema kuwa eneo hilo limesalia nyuma kimaendeleo kutokana na kukosa miundo msingi muhimu jambo lililochochea shikizo hizo. Mbunge huyo aidha amemhimiza gavana wa […]



