WAFANYABIASHARA WA MIRAA KAUNTI YA MOMBASA WAONYWA
Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir amewaonya wafanyibiashara wote wa miraa kaunti ya mombasa kuhakikisha kuwa hawafanyibiashara hizo karibu na taasisi za kielimu. Akizungumza katika sherehe za Jamhuri kwenye bustani ya Mamangina kaunti hiyo ya Mombasa Nassir amesema vijana wengi wenye umri mdogo wameishia kuwa waraibu wa bidhaa hiyo licha ya kuwa wao bado ni […]
WAFANYABIASHARA WA MIRAA KAUNTI YA MOMBASA WAONYWA Read More »



