ARSENAL YAPEANA MAFUNZO YA SOKA OXFORD
Arsenal sasa itakutana na Manchester city katika hatua ya 16 katika michuano ya FA baada ya kusajili ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya klabu ya Oxford. Katika mechi ya jana washika mtutu hao wa London walipeana mafunzo ya kutosha kwenye soka kwa Oxford kupitia bao la Mohamed Elneny pamoja na mabao mawili kinda wa uingereza […]
ARSENAL YAPEANA MAFUNZO YA SOKA OXFORD Read More »



