Paps Mkare

NIMEKUJA NA ‘SUGUNYO’ , WANYONYI ATAKUTANA NAYO JUMAMOSI – MANDONGA

Bondia maarufu kutoka nchini Tanzania Karim Mandonga amehakikishia mashabiki wake kwamba atapata ushindi katika pambano litakalofanyika wikendi ijayo katika ukumbi wa KICC mjini Nairobi. Akizungumza na wanahabari mjini Nairobi Mandonga amesema kwamba anafuraha sana kufika nchini Kenya na kupokelewa na mashabiki wake ambao amewaahidi kuwa atamtandika bondia wa kenya Daniel Wanyonyi kwenye mpambano utakaofanyika siku

NIMEKUJA NA ‘SUGUNYO’ , WANYONYI ATAKUTANA NAYO JUMAMOSI – MANDONGA Read More »

VIONGOZI WASHAURIWA KUPIGA JEKI VILABU VYA MASHINANI

Ipo haja ya viongozi waliochaguliwa kuwakilisha sehemu mbalimbali katika mkoa huu wa pwani kuingilia kati michezo mashinani ili kuokoa vipaji ambavyo huenda vikawa manufaa kwa jamii katika siku za usoni. Hii ni kulingana na Peter Mole mkufunzi mkuu wa Beach Bay ambayo inashiriki katika ligi ya daraja la pili kitaifa na amekariri kwamba ukata wa

VIONGOZI WASHAURIWA KUPIGA JEKI VILABU VYA MASHINANI Read More »