Janet Mumbi

MWALIMU MKUU WA SHULE YA UPILI YA MUYEYE MJINI MALINDI ALALAMIKIA ONGEZEKO LA IDADI YA WANAFUNZI WANAOTUMIA MIHADARATI

Mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Muyeye mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Francis Kazungu amelalamikia ongezeko la idadi ya wanafunzi wanaotumia dawa za kulevya shuleni humo. Kulingana na mwalimu huyo, wanafunzi wengi wamekuwa wakiingiza dawa hizo za kulevya shuleni humo kutokana na kile ambacho anasema kuchangiwa na ukosefu wa uzio mzuri. Akizungumza katika kikao […]

MWALIMU MKUU WA SHULE YA UPILI YA MUYEYE MJINI MALINDI ALALAMIKIA ONGEZEKO LA IDADI YA WANAFUNZI WANAOTUMIA MIHADARATI Read More »

GAVANA WA KAUNTI YA KWALE AWAONYA MAKATIBU KATIKA KAUNTI HIYO

Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amewaonya makatibu katika kaunti hiyo kutokana na kile anachosema baadhi yao wamechukua zabuni ambazo zinastahili kupewa wakaazi ili waweze kujiinua kimaendeleo. Achani aliyekuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Kwale amewataka mawaziri wa kaunti hiyo kuhakikisha hakuna ubaguzi wowote unaofanyika katika utoaji wa zabuni akisema ni jukumu la

GAVANA WA KAUNTI YA KWALE AWAONYA MAKATIBU KATIKA KAUNTI HIYO Read More »

JUMLA YA WANAFUNZI 109 KATIKA SHULE ZA UPILI KAUNTI YA KILIFI WANUFAIKA NA MASOMO YA DINI

Jumla ya wanafunzi 109 katika shule za upili kaunti ya Kilifi wamenufaika na masomo ya dini, katika kongamano la wanafunzi wa dini ya kikristo la Rafiki Wa Yesu Youth Camp, lililofanyika jana katika shule ya upili ya wavulana ya Gede, na kufadhiliwa na kituo cha habari cha Lulu fm. Kulingana na mwenyekiti wa kamati ya

JUMLA YA WANAFUNZI 109 KATIKA SHULE ZA UPILI KAUNTI YA KILIFI WANUFAIKA NA MASOMO YA DINI Read More »