Janet Mumbi

BADI TWALIB ATAKA NAFASI ZA KAZI KUTOKA SERIKALI KUU KUPEWA KWANZA VIJANA WA JOMVU

Mbunge wa Jomvu kaunti ya Mombasa Badi Twalib anataka nafasi za ajira katika miradi mbalimbali kwenye serikali kuu zipatiwe kwanza vijana wa eneo bunge hilo. Kulingana na Twalib lazima vijana wa eneo bunge hilo wapewe kipaumbele kwenye masuala ya ajira ili waweze kujiendeleza kimaisha. Amesema miradi kama wa Dongo Kundu na wa Reli ya Kisasa […]

BADI TWALIB ATAKA NAFASI ZA KAZI KUTOKA SERIKALI KUU KUPEWA KWANZA VIJANA WA JOMVU Read More »

SHEIKH JUMA NGAO AITAKA SERIKALI KUINGILIA KATI NA KUTATUA LALAMA ZINAZOIBULIWA KUHUSU SGR

Mwenyekiti wa baraza kuu la ushauri kwa Waislamu nchini KEMNAC Sheikh Juma Ngao ametoa wito kwa serikali kuingilia kati madai kuwa abiria wanaokabiliwa na dharura na kushindwa kusafiri kuwa hawawezi kurudishiwa nauli zao na usimamizi wa shirika la reli ya kisasa la SGR. Sheikh Juma Ngao amesema baadhi ya abiria wamekuwa wakilalamikia hilo na kuitaja

SHEIKH JUMA NGAO AITAKA SERIKALI KUINGILIA KATI NA KUTATUA LALAMA ZINAZOIBULIWA KUHUSU SGR Read More »

KAUNTI YA LAMU INAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA KIFEDHA ZA KUFADHILI WANAFUNZI

Naibu gavana wa kaunti ya Lamu Raphael Munyua amesema serikali ya kaunti hiyo inakabiliwa na changamoto za kifedha za kufadhili wanafunzi katika kaunti hiyo. Munyua amesema changamoto hiyo imechangiwa na mabadiliko ya kalenda ya elimu nchini tangu mwaka wa 2020 wakati wa janga la Virusi vya Corona nchini. Aidha, amesema serikali ya kaunti ya Lamu

KAUNTI YA LAMU INAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA KIFEDHA ZA KUFADHILI WANAFUNZI Read More »