HABARI

SERIKALI KUU YAAHIDI KUKAMILISHA DENI LA SHULE ZA UPILI ZA UMMA.

Wizara ya elimu nchini imewahakikishia walimu wakuu katika shule za upili za umma, kuwa watapokea deni lao la shilingi bilioni 14, za muhula huu wa kwanza wiki hii. Waziri wa elimu Julius Ogamba Migosi, amesema kuwa fedha hizo ni asilimia 25 ya jumla ya pesa ambazo, taasisi hizo zilitarajiwa kupokea katika muhula huu wa kwanza. […]

SERIKALI KUU YAAHIDI KUKAMILISHA DENI LA SHULE ZA UPILI ZA UMMA. Read More »

WANAHABARI KAUNTI YA TAITA TAVETA WAANDAMANA DHIDI YA WAZIRI WA AFYA KAUNTI HIYO.

Wanahabari kaunti ya Taita Taveta wamefanya maandamano ya amani kupinga matamshi ya waziri wa afya wa kaunti hiyo Gifton Mkaya, wakiyataja kuwa ya vitisho, uongo na yenye njama ya kuharibu sifa ya vyombo vya habari. Wanamshutumu waziri Mkaya, kwa kudai kuwa waandishi wa habari wamekuwa wakidai pesa, ili kuangazia sekta hiyo ya afya, ambayo imezidi

WANAHABARI KAUNTI YA TAITA TAVETA WAANDAMANA DHIDI YA WAZIRI WA AFYA KAUNTI HIYO. Read More »

WATALII ELFU MOJA WAWASILI ENEO LA PWANI KUPITIA BANDARI YA MOMBASA.

Huenda sekta ya utalii eneo la Pwani ikaboreka hata zaidi, baada ya jumla ya watalii elfu moja, kuwasili katika Ukanda huu kupitia bandari ya Mombasa. Akithibitisha hilo, mkurugenzi mkuu wa bandari ya KPA mjini Mombasa nahodha William Ruto, amesema kuwa wapo tayari kupokea meli nyingi zaidi, zilizo na watalii wengi wakao saidia uchumi wa eneo

WATALII ELFU MOJA WAWASILI ENEO LA PWANI KUPITIA BANDARI YA MOMBASA. Read More »