WANASIASA NCHINI KENYA WAONYWA DHIDI YA KUZINGATIA SIASA NA KUSAHAU MAENDELEO.
Naibu wa Rais Profesa Kithure Kindiki amewataka viongozi wa kisiasa mashinani, kuweka kando tofauti zao za kisiasa na badala yake, kuendeleza mazungumzo ya kuboresha maendeleo ya jamii. Kindiki ambaye alikuwa akizungumza kwenye kikao na viongozi wa kaunti ya Meru, katika makaazi yake jijini Nairobi, amewaonya wanasiasa nchini dhidi ya kuchukiana kwa misingi ya siasa, baada […]
WANASIASA NCHINI KENYA WAONYWA DHIDI YA KUZINGATIA SIASA NA KUSAHAU MAENDELEO. Read More »



