HABARI

ALIYEKUWA GAVANA WA KAUNTI YA MERU KAWIRA MWANGAZA AONA GIZA HUKU NAIBU WAKE ISAAC MUTUMA AKICHUKUA NAFASI YAKE RASMI.

Siku chache baada ya mahakama kutangaza kuwa bunge la seneti lilifuata utaratibu hitajika, katika mchakato wa kumbandua aliyekuwa gavana wa Meru, Kawira Mwangaza aliyekuwa naibu wake Isaac Mutuma sasa ameapishwa rasmi. Akizungumza mda mfupi baada ya kuapishwa, gavana Mutuma ameahidi kushirikiana na viongozi pamoja na wananchi wa matabaka mbali mbali katika kufanikisha shughuli za maendeleo […]

ALIYEKUWA GAVANA WA KAUNTI YA MERU KAWIRA MWANGAZA AONA GIZA HUKU NAIBU WAKE ISAAC MUTUMA AKICHUKUA NAFASI YAKE RASMI. Read More »

WAZIRI ADEN DUALE NA ALI HASSAN JOHO WAPONGEZA HATUA YA KUONDOLEWA KWA MSASA KWA WAKENYA WA KAUNTI ZA KASKAZINI MASHARIKI MWA KENYA.

Waziri wa mazingira, Aden Duale na mwenzake wa madini na uchumi wa bahari na maziwa nchini Ali Hassan Joho, wamepongeza hatua ya rais William Ruto kuondoa sheria ya wakenya wa eneo la Kaskazini Mashariki mwa taifa hili kupigwa msasa wanapotafuta vitambulisho vya kitaifa. Viongozi hao Aidha wamewasuta baadhi ya wale wanaopinga hatua hiyo huku wakitoa

WAZIRI ADEN DUALE NA ALI HASSAN JOHO WAPONGEZA HATUA YA KUONDOLEWA KWA MSASA KWA WAKENYA WA KAUNTI ZA KASKAZINI MASHARIKI MWA KENYA. Read More »