GARETH SOUTHGATE ALAUMU KIKOSI CHAKE KWA KUANDIKISHA MATOKEO HASI
Mkufunzi wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate, amekitaka kikosi chake kuonyesha uwezo na kiwango zaidi kwenye mechi na mashindano yajayo. Kocha Southgate amesema hayo wakati akizungumzia maandalizi ya mchezo wa mwisho wa Ligi ya Mataifa Ulaya dhidi ya Ujerumani mchezo utakaochezwa siku ya leo. Uingereza walishuka daraja kwenye mechi za Ligi ya Mataifa […]
GARETH SOUTHGATE ALAUMU KIKOSI CHAKE KWA KUANDIKISHA MATOKEO HASI Read More »



