HABARI

WANANCHI KAUNTI YA KWALE WAONYWA DHIDI YA SEMI ZA CHUKI MITANDAONI.

Naibu kamishana eneo la Matuga kaunti ya Kwale Lucy Ndemo, amewaonya wananchi dhidi ya kuendeleza semi za chuki kwa viongozi waliochaguliwa eneo hilo. Ndemo amesema kuwa wale wanaoendeleza semi za chiki mitandaoni, watakabiliwa kwa mujibu wa sheria kwani idara ya usalama, inaendeleza uchanguzi dhidi yao. Amewataka wananchi kudumisha ushirikiano mwema kati yao na viongozi walioko […]

WANANCHI KAUNTI YA KWALE WAONYWA DHIDI YA SEMI ZA CHUKI MITANDAONI. Read More »

WAVUVI ENEO LA MALINDI KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKIA UHABA WA SAMAKI BAHARINI.

Wavuvi eneo la Malindi kaunti ya Kilifi wamelalamikia kupungua kwa idadi ya samaki, katika fuo za bahari zilizoko eneo hili la Malindi. Kulingana na wavuvi hao wakiongozwa na Kahindi Kadenge, Paul Charo pamoja na Grace Neema, ambaye ni muuzaji wa samaki wa kukaranga wamesema wamekuwa wakivua samaki, chini ya kiasi cha kilo mbili kila wanapoenda

WAVUVI ENEO LA MALINDI KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKIA UHABA WA SAMAKI BAHARINI. Read More »

MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA UPELELEZI GEORGE KINOTI AMEJIUZULU.

Mkurugenzi mkuu wa idara ya upelelezi nchini DCI George Kinoti amewasilisha rasmi barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo ya uongozi. Haya ni kwa mujibu wa rais Dktr William Kipchirchi Arap Samoei Ruto, ambaye amesema kuwa sasa idara ya polisi nchini inapaswa kuteua atakeshikilia nafasi hiyo, kabla ya kupata yule atakekabidhiwa nafasi hiyo rasmi baada ya

MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA UPELELEZI GEORGE KINOTI AMEJIUZULU. Read More »