HABARI

SERIKALI YA KAUNTI KILIFI YATAKIWA KUTENGA SEHEMU YA KUEGESHA MAGARI

Idara ya usalama eneo la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi initaka serikali ya kaunti ya kilifi kutenga sehemu ya kuegesha magari, ili kupunguza msongamano uliopo katikati mwa mji wa Kilifi. Kulingana na kamanda wa Polisi eneo hilo Jonathan Koech, sehemu ambayo inatumika kwa sasa ni kituo cha kuabiri magari cha Kilifi, sehemu ambayo anadai kuwa […]

SERIKALI YA KAUNTI KILIFI YATAKIWA KUTENGA SEHEMU YA KUEGESHA MAGARI Read More »

KENYA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA AFYA YA AKILI DUNIANI

Taifa la Kenya linaungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya kimataifa ya afya ya akili duniani. Ni siku ambayo inaadhimishwa ili kuhamasisha wananchi kuhusiana na umuhimu wa afya ya akili, Utetezi dhidi ya unyanyapaa wa jamii pamoja na kuwawezesha wanaopitia changamoto ya afya ya akili. Mwaka wa 1992 shirika la afya duniani WHO liliadhimisha

KENYA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA AFYA YA AKILI DUNIANI Read More »

IDADI KUBWA YA VIJANA KAUNTI YA LAMU WAMEATHIRIKA NA UTUMIZI WA DAWA ZA KULEVYA

Gavana wa kaunti ya Lamu Issa Abdalla Timammy ameapa kukabiliana na ulanguzi wa dawa za kulevya kwenye kaunti hiyo. Timamy amesema idadi kubwa ya vijana katika kaunti hiyo ni waraibu wa dawa za kulevya hali ambayo amesema iwapo hatua thabiti hazitachukuliwa huenda wengi wao wakashindwa kujinasua kwenye utumizi huo. Amesema wasichana wenye umri mdogo pia

IDADI KUBWA YA VIJANA KAUNTI YA LAMU WAMEATHIRIKA NA UTUMIZI WA DAWA ZA KULEVYA Read More »