HABARI

KINA MAMA KAUNTI YA TANA RIVER WATAKIWA KUWATOA NJE WATOTO WAO WACHANGA

Afisa anayesimamia kitengo cha wauguzi kwenye hospitali ya Garsen kaunti ya Tana River Hassan Roba ametoa wito kwa kina mama kuwatoa nje watoto wao wachanga baada ya kuzaliwa. Amesema hatua ya baadhi ya kina mama kukosa kuwatoa nje watoto wachanga baada ya kuzaliwa inahatarisha afya ya mtoto wao. Kwa mujibu wa Roba desturi ya watoto […]

KINA MAMA KAUNTI YA TANA RIVER WATAKIWA KUWATOA NJE WATOTO WAO WACHANGA Read More »

GAVANA WA LAMU ASEMA VIWANGO VYA ELIMU VIMEPUNGUA KAUNTI YA LAMU

Gavana wa kaunti ya Lamu Issa Abdalla Timamy amesema matokeo ya mtihani wa kitaifa kwenye kaunti hiyo yamedorora kwa kiwango kikubwa ikilinganishwa na miaka ya hapo awali. Timamy anasema kumekuwa na viwango duni vya elimu katika mtihani wa kidato cha nne hali ambayo anadai inasababisha wanafunzi wengi kusalia majumbani baada ya kukamilisha masomo yao. Ametoa

GAVANA WA LAMU ASEMA VIWANGO VYA ELIMU VIMEPUNGUA KAUNTI YA LAMU Read More »

TEDDY MWAMBIRE ASEMA WATABORESHA SEKTA YA ELIMU KAUNTI YA KILIFI

Spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Teddy Mwambire amewahimiza wawakilishi wa wadi katika kaunti ya Kilifi kutilia mkazo sekta ya afya ili wenyeji waweze kupata matibabu bora. Kulingana na Mwambire iwapo kutakuwa na uadilifu katika sekta hiyo wenyeji wa kaunti ya Kilifi hawatahangaika katika kusaka matibabu hospitalini. Vilevile, amesema ni jukumu la wawakilishi hao

TEDDY MWAMBIRE ASEMA WATABORESHA SEKTA YA ELIMU KAUNTI YA KILIFI Read More »