HABARI

ARSENAL YAPAA KILELENI MWA JEDWALI KWA KUIPIGA LIVERPOOL

Washika mtutu wa London waite Arsenal sasa wamerudi kileleni tena kwa kufuatia kusajili ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya majogoo wa Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu Uingereza mtanange uliopigwa dimba la Emirates. Saka ambaye aliibuka kuwa mchezaji bora kwenye mechi hiyo akiwa anavalia jezi namba 7 alifunga magoli mawili kwenye mechi hiyo moja akimalizia […]

ARSENAL YAPAA KILELENI MWA JEDWALI KWA KUIPIGA LIVERPOOL Read More »

MAFUNZO YA MAREFA YAPIGIWA DEBE ,ASHINANI KUIMARISHA SOKA

Mafunzo ya marefa ambayo yamekuwa yakiendelea mashinani ni jamboa ambalo linahimizwa sana na washikadau wa michezo mashinani katika mkoa wote wa pwani nah ii inatajwa kama njia moja ya kuimarisha mchezo huo miongoni mwa vijana. Akizungumza na Tama la spoti kwa njia ya simu, mwenyekiti wa fkf tawi la kaunti ya Kwale bwana Hamisi Mwakoja

MAFUNZO YA MAREFA YAPIGIWA DEBE ,ASHINANI KUIMARISHA SOKA Read More »