ZAIDI YA FAMILIA 4,000 TAITA TAVETA KUNUFAIKA NA CHAKULA CHA MSAADA
Mshirikishi wa shirika la msalaba mwekundu kanda ya pwani Hassan Musa amesema zaidi ya familia elu 4 kaunti ya Taita Taveta zinatarajiwa kunufaika na chakula cha msaada kutoka kwa wafadhili mbalimbali kupitia shirika hilo. Akizungumza mjini Voi, Hassan amesema shirika la msalaba mwekundu linashirikiana na serikali ya kaunti ya Taita Taveta na ya kitaifa ili […]
ZAIDI YA FAMILIA 4,000 TAITA TAVETA KUNUFAIKA NA CHAKULA CHA MSAADA Read More »



