MURKOMEN AWEKA HADHARANI NYARAKA ZA MRADI WA SGR
Waziri wa uchukuzi wa Kipchumba Murkomen ameweka hadharani nyaraka za mradi mkubwa wa reli ya kisasa SGR uliotiwa saini na China baada shughuli hiyo kuendeshwa kwa usiri kwa miaka kadhaa. Reli ya thamani ya DOLA bilioni 3 inayofadhiliwa na China ni mradi mkubwa zaidi wa miundombinu humu nchini reli inayopita kati ya mji wa bandari […]
MURKOMEN AWEKA HADHARANI NYARAKA ZA MRADI WA SGR Read More »



