KLABU YA LIVERPOOL KUPIGWA MNADA
Wamiliki wa Liverpool Fenway Sports Group watamsajili kiungo wa kati wa Uingereza Jude Bellingham, 19, kutoka Borussia Dortmund kwa ada ya £87m kama zawadi ya kuagana kabla ya kuiuza klabu hiyo. Manchester United ni miongoni mwa klabu zinazowania kuinasa saini ya Bellingham, huku Chelsea ikiwa si miongoni mwa timu anazotaka kujiunga nazo FSG watapata faida […]
KLABU YA LIVERPOOL KUPIGWA MNADA Read More »



