HABARI

MECHI YA YANGA KUCHEZWA KESHO KISA MASHINDANO YA UFUKWE

Mechi ya daraja la pili kitaifa ya Samburu Lions dhidi ya Yanga itachezwa kesho katika dimba la Alaskan mjini Malindi. Mechi hiyo ilifaa kuchezwa wikendi ilopita lakini ikalazimishwa kuahirishwa kutokana na Yanga fc waliokuwa wanashiriki katika mashuindano ya kitaifa ya Olimpiki za Ufukweni mjini Malindi katika kaunti ya Kilifi ambako Yanga inayoongozwa na mkufunzi Collins […]

MECHI YA YANGA KUCHEZWA KESHO KISA MASHINDANO YA UFUKWE Read More »

MACHUNGAJI LEONARD KOTSE ATOA WITO KWA MUUNGANO WA KENYA KWANZA KUSITISHA MAANDAMANO

Mchungaji wa kanisa la Adonai kaunti ya Mombasa Leonard Kotse, ametoa wito kwa viongozi wa azimio kusitisha maandamano yao na badala yake watafute njia mbadala ya kuiwajibisha serikali. Katika mazungumzo ya kipekee na Meza yetu ya habari kwa njia ya Simu, Mchungaji Kotse amesema ni vyema iwapo maandamano hayo, yatasitishwa na mikakati kuwekwa namna masuala

MACHUNGAJI LEONARD KOTSE ATOA WITO KWA MUUNGANO WA KENYA KWANZA KUSITISHA MAANDAMANO Read More »

SENETA MOHAMED FAKI AWATAKA WAKENYA KUJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MAANDAMANO YA LEO

Seneta wa kaunti ya Mombasa Mohamed Faki amewahimiza wakenya kujitokeza kwa wingi hii leo kwenye maandamano yanayoongozwa na azimio la umoja one Kenya kuishinikiza serikali kuu kuwajibikia changamoto zinazowakabili wananchi. Faki amesema hali ya kupanda kwa gharama ya maisha, kunaendelea kuwaathiri Wakenya wengi na ni lazima serikali kuu iwajibishwe ili kuwanusuru. Akizungumza akiwa kwenye kaunti

SENETA MOHAMED FAKI AWATAKA WAKENYA KUJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MAANDAMANO YA LEO Read More »