TUKO NA SAFARI NDEFU KAMA TAIFA – INJERA
Lejendari wa timu ya taifa ya raga hapa nchini Collins Injera amesema kwamba Kenya ina safari ndefu katika kurekebisha uozo ulioko kwenye mchezo wa raga uliosababisha Kenya Shujaa kushuka daraja. Amesema kuna mabao mengi ya kuzingatiwa ikiwemo masomo thabiti na kulea vipaji vya raga kutoka umri mchana tofauti na hali iliyoko kwa sasa ambapo hata […]
TUKO NA SAFARI NDEFU KAMA TAIFA – INJERA Read More »



