MKUFUNZI MWENGINE AJIUZULU
Mkufunzi wa klabu ya Samburu Lions Erick Muema ameachana rasmi na klabu hiyo ya kaunti ya Kwale. Taarifa zasema kwamba ameamua kujiondoa kwa sababu zake binafsi baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa muda. Huyo anakuwa mkufunzi wa hivi punde zaidi kuachana na klabu ya daraja la pili baada ya mkufunzi Nero Chishenga kuachana na furunzi […]
MKUFUNZI MWENGINE AJIUZULU Read More »



