HATUJAACHANA NA MWADUKA – BUMBANI
Klabu ya Bumbani Stars inalenga kutumia dirisha la sasa la usajili kuimarisha kikosi Chao kuelekea msimu mpya ambao watacbeza katika ligi ya daraja la kwanza kitaifa baada ya kupanda msimu huu. Kulingana na Omar Mnyeto ambaye ni Patron wa klabu hiyo ni kuwa wachezaji takriban saba watasajiliwa msimu huu huku klabu hiyo ya LungaLunga tayari […]
HATUJAACHANA NA MWADUKA – BUMBANI Read More »



