HABARI

ALISSON BECKER KUKOSA MECHI ZA LIVERPOOL KWA WIKI SITA

Kipa nambari moja wa Liverpool Allison Becker atakosa mechi sita za klabu hiyo baada ya kupata jeraha la paja wikendi ilopita Alison alitumia katika mechi ambayo Liverpool ilishinda ugenini kwa bao 1-0 dhidi ya Crystal Palace na kutoka kunao dakika ya 79 Taarifa zasema kuwa atarejea baada ya mapumziko ya kimataifa mwezi November mwaka huu […]

ALISSON BECKER KUKOSA MECHI ZA LIVERPOOL KWA WIKI SITA Read More »

TOM LANGO AJIONDOA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA FKF

Mwenyekiti wa Fkf katika tawi la eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi Bwana Tom Lango ametangaza kujiondoa katika kipute hicho kutokana na kuvamiwa pamoja na kutishiwa maisha yake. Kulingana na Tom ambaye amethibitisha kwa Tama La Spoti ni kuwa alivamiwa na vijana takriban ishirini wakiwa wamenifunga vitambaa na kuficha nyuso zao wakiwa na silaha

TOM LANGO AJIONDOA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA FKF Read More »

JUNIOR STARLETS YAPATA USHINDI DHIDI YA DOMINICAN REPUBLIC

Timu ya taifa ya Junior Starlets ambayo iko Dominican Republic kwa ajili ya mashindano ya kombe la dunia ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 18 imeipiga Dominican Republic kichapo cha mabao 3-1 katika mechi ambayo ni ya miwsho ya kirafiki kabla ya mashindano rasmikuanza tarehe 16 mwezi huu. Kenya ilianza kwa kuruhusu bao lakini ikakomboa

JUNIOR STARLETS YAPATA USHINDI DHIDI YA DOMINICAN REPUBLIC Read More »